Gameweek 32 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast

FPL Tanzania

April 15, 202227 min
Soccer

Gameweek 32 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22

Play Episode

Episode Notes

Baada ya muda kidogo kutofanya podcast, sasa tumerudi tena na kwenye episode hii tunapitia maendeleo ya timu zetu na mipango yetu ya gameweek zijazo. Karibuni!   

Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania 

About Us:  FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!   

WhatsApp Group Invite 

https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T 

Jiunge FPL Tanzania League https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/alsp78 

#fpltz #FPLTZPodcast