Gameweek 17 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

Gameweek 17 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast
Dec 13, 202139:00
Play Episode

Episode Notes

Kwenye podcast hii tunaongelea  preview ya gameweek 17 pamoja na mindset zetu baada ya kupata bad gameweek. Pia tutagusia changamoto za kupanga vikosi kipindi hichi ambacho mechi ni nyingi na muda ni mchache. Finally, captain pick options for this coming gameweek.  

About Us:  

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!   

Support Us: 

https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania 

Follow our accounts on:  

https://twitter.com/fpltanzania 

https://twitter.com/mkali_1 

https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78