Meet the FPL Manager - Pio Mulokozi | FPL Tanzania

FPLTZ Podcast

FPL Tanzania

December 5, 202145 min
Soccer

Meet the FPL Manager - Pio Mulokozi | FPL Tanzania

Play Episode

Episode Notes

Description

Kwenye podcast hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Pio Mulokozi.

Pio anajivunia kumaliza top 100k ndani ya misimu minne aliyoshiriki FPL. Ungana nasi kumsikia akitueleza mengi aliyojifunza na anayotarajia katika FPL Tanzania community.

FPL Manager profile

Team name: Fifty Shades Darker

Top Rank: 92k

Twitter: @champagnepiochi

About Us

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA - Clubhouse” mini league ni alsp78