Meet the FPL Manager - Ipyana Itika | Scout | FPL Tanzania

Meet the FPL Manager - Ipyana Itika | Scout | FPL Tanzania

FPLTZ Podcast
Dec 20, 202142:00
Play Episode

Episode Notes

Kwenye episode hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Ipyana Itika a.k.a Scout.

Manager Ipyana anajivunia kuanzisha moja ya competitive mini league ya ‘Gaffers’ pamoja ya kuaminiwa na his fellow fpl managers kama scout. Ungana nasi kupata kusikia passion, dedication, fun and lessons learned from the ‘scout’ himself.

FPL Manager profile:

Team name: Havocks

Top Rank: 690k

Twitter: @Tanzania_FPL

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Support Us:

https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78