
FPLTZ Podcast
FPL Tanzania
November 24, 20211 hr 3 min
Soccer
FPLTZ Podcast | Gameweek 13 Preview | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Play Episode
Episode Notes
FPL TANZANIA tunakuletea mazungumzo yetu ya episode 2 kuhusu gameweek 13 na vingine vingi.
Episode hot topics:
- Five at the back?
- Striker ndio basi tena?
- Nini cha kufanya kuhusu Antonio
- Chelsea triple defenders?
- Spurs assets kuelekea fixture nzuri
- Man utd assets sasa OGS kaondoka
- Wachezaji ambao tunawaangalia
- Muda umefika wa kuanza ku captain defenders?
- Nini cha kufanya kuhusu Phil Foden
- Muda wa kumfikiria Mane?
Follow us on:
https://twitter.com/fpltanzania
https://twitter.com/mkali_1
https://twitter.com/ericbaisi