Gameweek 14 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast

FPL Tanzania

November 29, 20211 hr 16 min
Soccer

Gameweek 14 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

Play Episode

Episode Notes

Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 14. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya gameweek iliyopita na mipango yetu kwenda kipindi hiki chenye games nyingi.

0:00:57 Team ya Eric

0:09:34 Team ya Godfrey

0:17:52 Five at the back?

0:28:50 Strikers wazushi bado?

0:35:00 Top Transfers zilizofanywa ahead of gameweek 14

0:43:37 Timu zenye fixture nzuri

0:52:02 Captain Picks

1:00:50 Under the radar

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA - Clubhouse” mini league ni alsp78