Gameweek 16 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

Gameweek 16 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast
Dec 8, 202153:00
Play Episode

Episode Notes

Kwenye episode ya 6 ya podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 16. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya previous gameweek na mipango yetu going forward. Tutagusia pia interesting topics for gameweek 16, prospects for future transfers, captain picks na our mindsets towards FPL in general.

0:00 Intro

02:01 Eric Team Review 📊

03:38 Mkali Team Review 📊

05:18 City Assets

14:32 Strikers Je?

20:26 Fraud Premium Defenders!!!!

23:03 Man UTD entered the chat

28:24 Wazushi Camp - Kane & Co

34:56 Fixture Watch 👀

42:00 Under The Radar! 🔎

48:50 Captain Pick 🧢

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA - Clubhouse” mini league ni alsp78