Gameweek 15 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast

FPL Tanzania

December 2, 202146 min
Soccer

Gameweek 15 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

Play Episode

Episode Notes

Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 15. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya gameweek hii na mipango yetu kwenda kipindi hiki chenye games nyingi.

0:09 Intro

0:54 Greetings

02:20 Summary of The Topics

03:41 Team Zetu So Far 📊

06:40 Recap Ya Last Gameweek 📆

08:25 Jimenez, Muda Wa Kuuza?

13:53 Gallagher (+benteke)

17:30 Man City Assets

21:50 Chelsea Defenders

25:00 AntonioNO?!?

32:17 Under The Radar! 🔎

38:00 Fixture Watch 👀

39:52 Captain Pick 🧢

42:48 Swali Kutoka Kwa Msikilizaji

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA - Clubhouse” mini league ni alsp78